EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Hapo ngumu mana dolar haitumiki sana labda uwe unaenda mikumi. Selou na hifadhi ya kilombero.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepigwa hii karibuniSiku hizi sizioni nyuzi za forex. Kuna tatizo gani ?
Habari wana JF!
Nimewaza kufanya biashara hii ya kununua na kuuza dola, nanunua bei inaposhuka na kuuza bei inapopanda!
Naombeni uzoefu wenu, Jinsi ya kufanya ili niweze kuifanya biashara hii.....
NB: Sina uwezo wa kufungua ofisi ya Bureau de Change kwa sasa! View attachment 1028292
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah upo sahihi, usijetoa machozi sasa hivi....waache wenye forex yao.
Yah upo sahihi, usijetoa machozi sasa hivi....waache wenye forex yao.
Sema kwa hiyo kitu unayotaka kuifanya, nakushauri tu utoke hapo ulipo....then nenda kwenye camps, lounge or hotel za kitalii, am sure utafanya kitu kizuri zaidi.
All the best Mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matapeli wa Forex watakuja muda si mrefu.
JANGID..
Hiyo itakuwa biashara haramu ndugu. Tafuta vibali vinginevyo utafilisiwa na kujikuta polisi, mahakamani na mwisho magereza
Are you sure ulimbo?!!!!Ukienda BOT watakupa maelekezo, ila kwa sasa sikushauri sana, kwani hii serikali haitabiriki. Kipindi cha nyuma kidogo BOT wakishirikiana wanajeshi walivamia maduka ya kubadilishia fedha, wakachukua fedha zote walizokuwa nazo, alafu wakayafunga maduka hayo, na mpaka sasa maduka hayo yamefungwa, na sijui wataruhusiwa kuyafungua tena.