Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Ingekua mahindi ningeungana naww kijijini kwetu mahindi bei rahisi sana !! Ila n njombe sasa njombe had dar mtaji itaishia kwenye nauli but sjajua wanaonunuaga wanapelekaga dar au WAP?
mkuu mahindi huko ni bei gani mimi nipo mafinga nafanya biashara ya mahindi
 
Ingekua mahindi ningeungana naww kijijini kwetu mahindi bei rahisi sana !! Ila n njombe sasa njombe had dar mtaji itaishia kwenye nauli but sjajua wanaonunuaga wanapelekaga dar au WAP?
kama inawezekana nicheki mkuu 0719114466
 
mkuu usiwe mwoga kwe biashara na ujue ukitaka kufanikiwa kwe biashara lazima uwe risk taker otherwise huwezi fanya kitu kwa kuwa mwoga mm nimetoka chuo mwezi wa saba mkuu na ninafanya biashara ya mazao ingawa mm natafuta mahindi vijijini then nayaleta mjini nayakoboa na kusaga then nayafunga kwe viroba vya kg 25 naviuzwa kwa bei ya jumla then narudi zang vijijini kutafuta mahindi mengine just try mkuu ajira za makufuri mguu ndani mguu nje

wish u all the best
 
Kuanzisha biashara yeyote ina changamoto zake mpaka uweze kusimama vizuri. Na wakati unaendelea kufanya biashara ujue kwamba uko darasani ni kujifunza kila siku uwapo kazini kwa vitendo. Hivyo basi unapokuwa na mtaji lets say 1m na unalenga kununua mazao kwanza angali mali utakayoleta wateja wake wapo ? na mzigo utakaoleta mzunguko wenyewe uko je. Je kuna wengine wanaoleta mzigo kama huo ili kuingia kwenye ushindani,,na je ubora wa mzigo wako uko kiushindani zaidi na je wateja wako wako vipi yaani ni wa mkopo au cash. Utakapofanya utafiti huo nenda chukua mzigo jitahidi kupata mzigo safi ili uweze kuvuta wateja kwa haraka na unaweze punguza bei kidogo kama haitakuathiri. Ni mengi ya kuelimisha kwa leo naomba kuwasilisha.
 
Wadau hili lipoje ebu mtujuze me mwenyewe hii biashara naipenda sana ila sijajua pa kuanzia anaejua atumwagie maujuzi hapa au kama kuna thread imewahi ongelea hii biashara tuwekeeni link hapa. "Kizuri kula na mwenzio"
 
Kweli mkuu, shukrani.
 
Congratulations mkuu, umenipa motivation.
 
Mkuuu umeniconvise sanaaa....mtaji unaweza kuanza na bei gan
 
Kipi bora,kununua mchele ama mpunga?sababu utajuaje mpunga unaonunua utatoa mchele mzuri unaotaka kwa ajili ya biashara..kipi bora kwa ajilimya biashara mpunga au mchele?
Kununua mchele ni nia bora zaidi, na hasa kama huna utaalamu wa kukagua mpunga.
 
Habari njema hizi.
Mimi nina gunia 200 za mpunga huko Tabora (Ndala, Wilaya ya Igunga).
Nauza gunia 165 kwa 10,000,000 cash.
 
Ingekua mahindi ningeungana naww kijijini kwetu mahindi bei rahisi sana !! Ila n njombe sasa njombe had dar mtaji itaishia kwenye nauli but sjajua wanaonunuaga wanapelekaga dar au WAP?
Muheshi miwa njombe sehemu gan mm pia nko njombe na Nina taka kuanza biashara ya mahindi kwa hyo niombee ufafanuz wako kidogo
 
MM niko njombe sasa niombe ushaur kwa wananjombe wenzangu kuhusu biashara ya mahindi kutoa vijijini na kuleta mjini njombe na mikoa mingine jiran na njombe na Nina mtaji million 1. 5 vp naweza kufanisha biashara hii na kutoka kimaisha??
 
Ingekua mahindi ningeungana naww kijijini kwetu mahindi bei rahisi sana !! Ila n njombe sasa njombe had dar mtaji itaishia kwenye nauli but sjajua wanaonunuaga wanapelekaga dar au WAP?
njombe sehemu gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…