Ndio naifanya hii biasharaAdam unafanya hii biashara?Samahani maana nataka nikutafute tuyajenge
Mkuu me pia nahitaji kufanya hii biashara ila cjui pa kuanzia boss, nipo dar ila nilifikiria kukodi fremu then nakuwa nafata mpunga Morogoro na kuja kukoboa dar na kuuza.Mkuu wengine tuna uzoefu wa haya maswali yako lakini nashindwa kukupa majibu ya moja kwa moja kutokana na mikoa uliotaja hapo tofauti na mimi nilipokua nachukulia ,so naweza kukupa majibu yasijiotosheleza kulingana na hitaji lako.
Ila kama hutaitaji ufafanuzi wangu mimi ambae nilikua nachukulia mchele maeneo ya ifakara,mang'ula kilombero ntashare nawe uzoefu
Asante
Mkuu naweza kukutafuta, nahitaji kufanya hii biashara nipo dar1- Mpunga ambao hautavunjika wakati wa kukoboa utaujua kwa kupekecha kwenye viganja vyako sampuli ya mpunga unaotaka kukoboa km unakatika basi utaona umekatika karibia mpunga wote uliopekecha
2- Gunia la debe 10 unatoa kg 75-80 ambapo gunia ilo la mpunga linakua na kg 100-120
3- Mpunga mzuri unapatikana mbeya ambapo kamsamba kutoka chunya unashika namba moja,kufuatiwa mchele kutoka kyela na mwisho n mbalari katika mkoa wa mbeya ila mbarali ndio unapatikana mchele mwingi zaid takribana robo tatu ya mchele wote kutoka mbeya
4- Bei za kusafilishia mchele ni Tsh.7000/= kwa kila kg 100
5- Bei ya kukoboa mpunga ni Tsh5000 kwa kila gunia moja
Kama kunasehemu sijaeleweka nakaribisha maswali
Ndio waweza kunitafuta pia niko dar kwa sasa maeneo kitunda mwanagati nyuma ya uwanja wa ndegeMkuu naweza kukutafuta, nahitaji kufanya hii biashara nipo dar
Ushaur wang ni vema ukafata mchele afu uje kuuza uku,wazo la flemu ni zuri sana lkn ukfata mpunga itakupa shidamkuu me pia nahitaji kufanya hii biashara ila cjui pa kuanzia boss, nipo dar ila nilifikiria kukodi fremu then nakuwa nafata mpunga Morogoro na kuja kukoboa dar na kuuza
Naomba ushauri wako mkuu
Phone no 0742863700Ndio waweza kunitafuta pia niko dar kwa sasa maeneo kitunda mwanagati nyuma ya uwanja wa ndege
Maelezo mujarabu1- Mpunga ambao hautavunjika wakati wa kukoboa utaujua kwa kupekecha kwenye viganja vyako sampuli ya mpunga unaotaka kukoboa km unakatika basi utaona umekatika karibia mpunga wote uliopekecha
2- Gunia la debe 10 unatoa kg 75-80 ambapo gunia ilo la mpunga linakua na kg 100-120
3- Mpunga mzuri unapatikana mbeya ambapo kamsamba kutoka chunya unashika namba moja,kufuatiwa mchele kutoka kyela na mwisho n mbalari katika mkoa wa mbeya ila mbarali ndio unapatikana mchele mwingi zaid takribana robo tatu ya mchele wote kutoka mbeya
4- Bei za kusafilishia mchele ni Tsh.7000/= kwa kila kg 100
5- Bei ya kukoboa mpunga ni Tsh5000 kwa kila gunia moja
Kama kunasehemu sijaeleweka nakaribisha maswali
Wakati wa mavuno huuzwa tsh 40000 hadi 60000 inategemeana na msimu kama kuna mafuriko ya mpunga ila pia hua bei inapanda mpaka kufikia 120000 kwa guniaMaelezo mujarabu
Gunia la kg 100
Mpunga wakati wa mavuno huwa linauzwa bei gani?
Asante sana.Wakati wa mavuno huuzwa tsh 40000 hadi 60000 inategemeana na msimu kama kuna mafuriko ya mpunga ila pia hua bei inapanda mpaka kufikia 120000 kwa gunia
Wakati wa mavuno huuzwa tsh 40000 hadi 60000 inategemeana na msimu kama kuna mafuriko ya mpunga ila pia hua bei inapanda mpaka kufikia 120000 kwa gunia
Utaifanyia wap ndugu. maana mm nahitaji kufanya msimu huu na sijajua wap pazuri.pindi wakiwa wanavuna ndio muda mzur maana gunia la debe 6 linachezeaga kwenye 26-30 maana wanakua bado wana arosto la pesa.
Vitu vingne kama Ushuru na usafiri ni mamb madogo madogo tu.
MWENYEZI MUNGU akinijaalia huu msimu mwez wa tano nataka nianze na kimtaji changu kidogo.
Katavi is the best place for hiyo jamboz, mazao bei chee sanautaifanyia wap ndugu. maana mm nahitaji kufanya msimu huu na sijajua wap pazur