Kivuyo A J
Member
- Feb 23, 2018
- 17
- 15
Wataalam wa uchumi naomba msaada coz nilinunua mahindi mwaka hadi muda huu bado hayapanda, tena imeshuka, vp prediction ya baadae yanaweza kupanda kidogo kweli??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaitaji Kwa Sh Ngap Wew..?Niuzie mm hayo mahindi yako
Binafsi Nina Gunia Za Mahind Zaid Ya Elf 2 Nasubir Mwez Wa 3 May B Bei Inaweza Badilika Kuna Madalali Waliniambia Sije Peleka Sokon Nitakula HasaraWataalam wa uchumi naomba msaada coz nilinunua mahindi mwaka hadi muda huu bado hayapanda, tena imeshuka, vp prediction ya baadae yanaweza kupanda kidogo kweli??
Unaitaji Kwa Sh Ngap Wew..?
Ndio Nilicho Kikataa Sokon Icho27,000 mpaka 30,000 gunia la debe sita.
Ndio Nilicho Kikataa Sokon Icho
NashukuruBinafsi Nina Gunia Za Mahind Zaid Ya Elf 2 Nasubir Mwez Wa 3 May B Bei Inaweza Badilika Kuna Madalali Waliniambia Sije Peleka Sokon Nitakula Hasara
Ebu Jaribu Kusubir Kama Umeyahifadhi Sehem Nzur
Duh!!!Ndio Nilicho Kikataa Sokon Icho
Hii inatufanya watanzania hatuendi mbele kwa haraka.,Binafsi Nina Gunia Za Mahind Zaid Ya Elf 2 Nasubir Mwez Wa 3 May B Bei Inaweza Badilika Kuna Madalali Waliniambia Sije Peleka Sokon Nitakula Hasara
Ebu Jaribu Kusubir Kama Umeyahifadhi Sehem Nzur
Mim Sina Biashara Ya Ovyo Ovyo Ndugu Kama Bei Ikiwa Nzur Nakuletea Mzigo Hadi Katka Godon LakoDuh!!!
Binafsi Nina Gunia Za Mahind Zaid Ya Elf 2 Nasubir Mwez Wa 3 May B Bei Inaweza Badilika Kuna Madalali Waliniambia Sije Peleka Sokon Nitakula Hasara
Ebu Jaribu Kusubir Kama Umeyahifadhi Sehem Nzur
Hii bei ya unga dar ipi mzee, kilo 25 sasa hivi inauzwa mpka elfu 16. Tena watu hawalipi wanasumbua balaaHii inatufanya watanzania hatuendi mbele kwa haraka.,
Kama unamtaji wa kununua au kulima ukapata gunia 2000, unashindwaje kuongezea dhamani hayo mahindi?
Kiroba cha kilo 25 ya unga uwe dona au sembe ni 22000 kwa Dar, ukisaga kunia moja unaweza kupata vitoba 3 kwa sembe au 4 kwa dona achilia mbali Pumba . Sasa kwann tunauza chakula ghafi!!??. Ni ajabu sana kwa mikoa ya mpakani na Kenya kama Kilimanjaro na Arusha, watanzania wanapeleka mahindi ghafi Kenya wenzetu wanayaongezea dhamani na kurudisha tena Tanzania kuuza kwa bei kubwa.
Ni vyema mkaungana kama mitaji haipo kubadili mambo.
Sina Muda Wa Kushughulikia Izo Process Mbaya Siwez Kujikita Katika Kitu Ambacho Badae Kitanilitea Hasara Sababu Ya UsimamizHii inatufanya watanzania hatuendi mbele kwa haraka.,