Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Wataalam wa uchumi naomba msaada coz nilinunua mahindi mwaka hadi muda huu bado hayapanda, tena imeshuka, vp prediction ya baadae yanaweza kupanda kidogo kweli??
 
Binafsi Nina Gunia Za Mahind Zaid Ya Elf 2 Nasubir Mwez Wa 3 May B Bei Inaweza Badilika Kuna Madalali Waliniambia Sije Peleka Sokon Nitakula Hasara

Ebu Jaribu Kusubir Kama Umeyahifadhi Sehem Nzur
 
siku hizi biashara iliyobaki ni kilimo... kila mtu amekuwa mkulima... mahindi yanayovunwa yamekuwa mengi sana kuliko zamani.... serikali iruhusu yauzwe nje
 
Usiwe na haraka endelea kuhold tu kama yapo sehemu nzuri kuanzia mwezi wa tatu hapo bei ndo zinapandaga kwa kasi hata zisipopanda tunza tu utauza hata mwakani. Au pia unaweza kukoboa na uuze unga hapo utaona faida kama utapata tenda za kupeleka unga mashuleni.
 
Binafsi Nina Gunia Za Mahind Zaid Ya Elf 2 Nasubir Mwez Wa 3 May B Bei Inaweza Badilika Kuna Madalali Waliniambia Sije Peleka Sokon Nitakula Hasara

Ebu Jaribu Kusubir Kama Umeyahifadhi Sehem Nzur
Hii inatufanya watanzania hatuendi mbele kwa haraka.,
Kama unamtaji wa kununua au kulima ukapata gunia 2000, unashindwaje kuongezea dhamani hayo mahindi?
Kiroba cha kilo 25 ya unga uwe dona au sembe ni 22000 kwa Dar, ukisaga kunia moja unaweza kupata vitoba 3 kwa sembe au 4 kwa dona achilia mbali Pumba . Sasa kwann tunauza chakula ghafi!!??. Ni ajabu sana kwa mikoa ya mpakani na Kenya kama Kilimanjaro na Arusha, watanzania wanapeleka mahindi ghafi Kenya wenzetu wanayaongezea dhamani na kurudisha tena Tanzania kuuza kwa bei kubwa.
Ni vyema mkaungana kama mitaji haipo kubadili mambo.
 
Hii bei ya unga dar ipi mzee, kilo 25 sasa hivi inauzwa mpka elfu 16. Tena watu hawalipi wanasumbua balaa
 
Hii inatufanya watanzania hatuendi mbele kwa haraka.,
Kama unamtaji wa kununua au kulima ukapata gunia 2000, unashindwaje kuongezea dhamani hayo mahindi?
Kiroba cha kilo 25 ya unga uwe dona au sembe ni 22000 kwa Dar, ukisaga kunia moja unaweza kupata vitoba 3 kwa sembe au 4 kwa dona achilia mbali Pumba . Sasa kwann tunauza chakula ghafi!!??. Ni ajabu sana kwa mikoa ya mpakani na Kenya kama Kilimanjaro na Arusha, watanzania wanapeleka mahindi ghafi Kenya wenzetu wanayaongezea dhamani na kurudisha tena Tanzania kuuza kwa bei kubwa.
Ni vyema mkaungana kama mitaji haipo kubadili mambo.
Sina Muda Wa Kushughulikia Izo Process Mbaya Siwez Kujikita Katika Kitu Ambacho Badae Kitanilitea Hasara Sababu Ya Usimamiz

Ninacho Kiweza Kununua Mahind Eneo Fran Kuyaleta Sokon Nipewe Pesa Yangu Bass Ayo Mengine Acha Niwaachie Wengine

Tugawane Umaskin Ndugu Yangu
 
Back
Top Bottom