thx mexicana na pm nimeona nimekuuliza tena please usichoke kunielekeza.
kwa hapa dsm nimeambiwa kg 1 ni sh 550 sasa kwa bei hiyo pamoja na usafiri naona km profit itakuwa finyu
Hiyo ndio biashara na ndio " Reality " Unajua Ku bargain?
Uwezo wako wa kushawish ndio faida yako la sivyo rudi ofisini
mi niko ofcn mkuu nimeona vyema nifanye na busness. thx kwa ushauri tayari nilishanegotiate sn tu na bado naendelea kunegotiate
Mkuu kamusi Njoo Turiani utapata mahindi mengi tu. Mimi nitakuwa mwenyeji wako kwa maana ya kukuonesha vijiji wazalishaji wakubwa/ wanaotegemea kupata mahindi kwa wingi mwaka huu. Kwakuwa mahindi ni machache msimu huu tarajia bei itakuwa juu kidogo kuliko kawaida. Maana tulizoea msimu wa kilimo huko nyuma yalikuwa yanashuka hadi sh28000 kwa roba la debe7. Mwaka huu itapanda kidogo make mvua ziliwayumbisha sana wakulima. Ila kiujumla ni deal sana mkuu hakika mtaji wako unatosheleza na lazima utatoboa yaani utakuwa mcharooo hatari!
Karibu sana mkuu, habari hii haina ubabaishaji. Fanya fasta usilale!!!
Na pakuuza usitegemee sehemu moja , tafuta masoko zaid ya hata ya kumi sehemu tofaut tofaut inshort unda network yako, Huenda kuna sehemu nyingne kwa kupitia bei hyo hyo uliyotaja ukapata faida nzur hata Mara mbili zaidi ya hii uliyoiona sasa.
Thx kwa information nzuri na kunipa moyo. huko turiani vp bado kuvuna mkuu?
mkuu vp naww unafanya hii biashara au ni mkulima? vp kuhusu usafiri kutoka huko turiani hadi dar ni sh. ngapi kwa gunia?
Mkuu mimi ni mkulima ila sio wa mahindi. Kwa Dar fuso linaruka hadi sh 750k, jaribu kuulizia linauwezo wa kubeba shehena ya magunia mangapi ili ujue @.
Sijawahi kusafirisha mahindi so nachelea kukuingiza chaka!
Ila kiujumla mwaka huu dodo umelenga mle mle!!
Huu ndo wakati haswaa wakulima wanajiandaa kuvuna. Ukiwahi ndo vzr make wengi wao watahitaji hela ya kuvunia na maroba, hivyo ni rahisi kuandaa mazingira mazuri ya kupata mzigo kwa bei ya chini kuliko aliyechelewa na kukuta wameshavuna.
Njoo week hii wala usingoje kengele!!
ok thx mkuu nashukuru kwa maelezo mazuri. nataka nijaribu bahati yangu mkuu.thx a lot
n pm fasta ila uwe srious sio ktutangazia mtaj wako kumbe haupo
thread kama hizi huwa hazina wachangiaji.. sijui kwanini
Thread kama hizi huwa hazina wachangiaji. Sijui kwanini