Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ku-bet nouma zaidi mzee mhii acha kabisa unaweza ukafa kwa stress.Biashara ni sawa na kubeti/kubahatisha,hata kama utafanya research za marketing au hata kama utajibiwa italipa au hailipi haina maana matokeo yatakua kama ulivyoshauriwa humu.
Na mfungo huuudar soko umepata watanunua kwa bei gani?
Hao Nguruwe walete Unguja uone kaziHabr wana jamii nina mtaji wa m 2 nataka kufanya ununuz wa nguruwe toka moro to dar kuchinja kwa ajir ya biashara vp ushaur apo italipa ???
Huwaga nawaangalia kwa jicho baya sana nyie mnaosema leta sijui zanzibari. Biashara ni ile ile, msiwape watu matamanio.Hao Nguruwe walete Unguja uone kazi
Tuliza mshonoHuwaga nawaangalia kwa jicho baya sana nyie mnaosema leta sijui zanzibari. Biashara ni ile ile msiwape watu matamanio.
Umekalia msumari?Tuliza mshono
HahahahahaHao Nguruwe walete Unguja uone kazi