mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
wakuu
nimekua mkulima wa vitunguu kwa misimu miwili,,am happy for it!!
kwa sasa nafikiria kununua vitunguu kwa wingi lets say gunia 100,,then nivihifadhi vichanjani kwa muda wa miezi kadhaa kisha niviuze...kw amfano naweza nunua gunia kwa 50,000 low season nikaja kuviuza after 3 months kwa 100,000....naomba wale wenye uzoefu na biashara ya hivi wanipe changamoto zao na mambo mengine yanayofanana na ayo...ujasiriamali hoyee