Biashara ya kununua vitunguu kuhifadhi na kuuza

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
wakuu

nimekua mkulima wa vitunguu kwa misimu miwili,,am happy for it!!

kwa sasa nafikiria kununua vitunguu kwa wingi lets say gunia 100,,then nivihifadhi vichanjani kwa muda wa miezi kadhaa kisha niviuze...kw amfano naweza nunua gunia kwa 50,000 low season nikaja kuviuza after 3 months kwa 100,000....naomba wale wenye uzoefu na biashara ya hivi wanipe changamoto zao na mambo mengine yanayofanana na ayo...ujasiriamali hoyee
 
nami nisaidiwe hapa karibuni wadau!
 
Ngoja waje mkuu ili tujifunze wote.....!!
wakuu

nimekua mkulima wa vitunguu kwa misimu miwili,,am happy for it!!

kwa sasa nafikiria kununua vitunguu kwa wingi lets say gunia 100,,then nivihifadhi vichanjani kwa muda wa miezi kadhaa kisha niviuze...kw amfano naweza nunua gunia kwa 50,000 low season nikaja kuviuza after 3 months kwa 100,000....naomba wale wenye uzoefu na biashara ya hivi wanipe changamoto zao na mambo mengine yanayofanana na ayo...ujasiriamali hoyee
 
alafu mkuu unaposema ''wale wazoefu wa hii biashara'',
inamaanisha misimu yote miwili ya ukulima wako wa vitunguu.. ulikuwa hauuzi au ulitumia kwa matumizi ya nyumbani?
 
Ulikuwa unalimia wapi? Kuweka stock kitunguu huwa inapungua ujazo.uwe makini ktk ujenzi wa store..
 
Back
Top Bottom