Biashara ya kupeleka Malawi

Biashara ya kupeleka Malawi

kichwakili

Member
Joined
Aug 19, 2017
Posts
27
Reaction score
23
Wakuu,

Mwenye uzoefu wa biashara ya nguo na vitu mbalimbali kutoka huku Tanzania kwenda kuuza Malawi naomba aliyewahi kufanya biashara nchini Malawi anipe uzoefu
 
Nadhani biashara ya kupeleka wida a.k.a bangi itakulipa sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wengi huwa naona wanapeleka nguo za kiume pia zile CD zenye movie kibao ila sijuwi kama hii biashara bado inalipa kiasi hicho.Afu mmalawi akikuuliza nyumbani wapi we mwambie Kariakoo Dar es Salaam atakuona we ndo Jay z ama Drake.
 
Truck suit kali na majeans yenye maneno maneno. Au ya mchaniko sio modo sana. Ni biashara inayolipa sana
 
Wakuu,

Mwenye uzoefu wa biashara ya nguo na vitu mbalimbali kutoka huku Tanzania kwenda kuuza Malawi naomba aliyewahi kufanya biashara nchini Malawi anipe uzoefu

Kwanza kabla hujafika hiyo Lilongwe mapolisi wa kule watahakikisha huingii hata na mia mfukoni,yaani unasachiwa kama umeuwa mtu na kila baada ya km 10 kuna road blocks,wana njaa zaidi ya panya kama unataka kutoka kafanye biashara zambia mkuu malawi ni jehanamu ya África
 
Niliwahi kupeleka redbull na vikoi kitambo, ila line za malawi zinabadilika sana inaenda na msimu kama kipindi hiki nina mwana anatoa soya malawi, na mabelo ya mitumba inamlipa! Wengine wanavusha vipombe ila issue wakikuotea unakata mtaji lazima usome magap kwanza.
 
Wengi huwa naona wanapeleka nguo za kiume pia zile CD zenye movie kibao ila sijuwi kama hii biashara bado inalipa kiasi hicho.Afu mmalawi akikuuliza nyumbani wapi we mwambie Kariakoo Dar es Salaam atakuona we ndo Jay z ama Drake.
Kwamba Jayz 😂😂
 
Back
Top Bottom