Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau Moroco shida usafiri ghari sanaKwa utafiti mdogo niliofanya nchi za kupeleka ni kenya, rwanda, congo na sudan ila sina muongozo wowote
Daah Kuna jamaa alikua na mtaji wa 50-60+milion yeye alikua anapeleka mbuzi ila alisema Moroco kwa sisi Tz ni rahisi na mazao yetu yanauzika sana kule kwasabab mpaka mchina anapeleka maharage kuleKwa mtaji ninatakiwa niwe na sh ngap
Ila mi sijasema kama huo ndo mtaji unaohitajika nadhani watakuja wazoefuMtaji ndo tatzo asante kwa ushaur
MImi naona ni pungufu..maana kuna vibali....Kwa kuanzia atleast nianze na sh ngap
Chukua ushauri wa@Mnyiramba...hizo zinatoshea humu humu mkuuSawa ni pungufu nilikuwa nauliza kama uongezea pesa nionhezee sh ngap