Biashara ya kupeleka nafaka nije ya nchi

Mimi ni kijana mwenye umri wa 30 ninamtaji wa milion 8 .Nilikuwa naomba ushaur, muongozo na jinsi gani ya kufanya biashara ya nafaka kupeleka nije nchi .Asanteni
Tembelea Arusha kuna watu kibao wanakusanya mazao hapo na wanasafirisha kwenda Kenya
 
Huu uzi ni mzuri ila sioni wachangiaji wa maana.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa 30 ninamtaji wa milion 8 .Nilikuwa naomba ushaur, muongozo na jinsi gani ya kufanya biashara ya nafaka kupeleka nije nchi .Asanteni
nmesoma.comenti nyng humu ni nzr sna! kama una hela fanya na usiogope maana ukiweza kupakia sem moja ya tan 30 ya mahnd kufika kenya hasa isebania utauza na ndo weng kwa mwaka jana walikuwa wanapeleka yaan mtu anatoa mahnd mbozi mbeya anapeleka isebania kenya iko mpakan sirari hapo wamepiga sana hela ndo maana mahnd yalifika bei kubwa sana maana wasomari wananunua kupitia maagent wao pale, skuskia kama kulkuwa na shda na msimu unaanza mwz wa tatu, vilevile kahama shinyanga wnanunua sana maana waganda na wanyarwanda wamewekeza sana pale hasa mpunga na mchele pale hata uwe na mzigo wa bilion watakupa hela! hvyo anza tu usiogope hii biashara iko vzr ukipata mkusanyaji mzur vjijini., kwa dar ni wajanja sana unapeleka mzgo wanakulipa nusu then nyngne unasubl sasa kuna mawl kupewa au kutopewa au kupewa kwa kucheleweshewa hvyohvyo na sehemu zngne ila ukipeleka mwambie nataka kesh kama hana bai usubli wenye hela
 
Asante kwa ushaur naomba kuuliza semi ya tani 30 ya mahindi kuijaza mahindi inaweza kukugalimu pesa kias gan
 
Kama unataka kufanya hio biashara serious na utengeneze pesa uwe na mtaji wa at least 20mill. Zungusha hiyo pesa yako ifikie hapo then rudi uombe tena ushauri utapata muongozo.
 
Back
Top Bottom