Biashara ya kupeleka nafaka nije ya nchi

New HIZ O

Member
Joined
Jun 1, 2022
Posts
40
Reaction score
65
Mimi ni kijana mwenye umri wa 30 ninamtaji wa milion 8 .Nilikuwa naomba ushaur, muongozo na jinsi gani ya kufanya biashara ya nafaka kupeleka nije nchi .Asanteni
 
Mkuu unataka kupeleka nchi gani....
Tujue tunafanya nini
 
Daah Kuna jamaa alikua na mtaji wa 50-60+milion yeye alikua anapeleka mbuzi ila alisema Moroco kwa sisi Tz ni rahisi na mazao yetu yanauzika sana kule kwasabab mpaka mchina anapeleka maharage kule
Mtaji ndo tatzo asante kwa ushaur
 
8m ni pesa nyingi sana ila sio yakufikia huko ulipokusudia,kwa 8m inabidi ufanye biashara ya nafanya ukiwa kijijini yaani unacheza kijiji kwa kijijini bila kunusa pua town
Je nikiwa na milion 15 itatosha kupeleka nije nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…