Habari zenu wadau.Ninaomba ushauri kuhusu biashara ya kutengeneza kokoto,jee ni Mikoa gani ambayo ninaweza kuwekeza na kunilipa?
Natanguliza shukurani.
Ni kwamba tayari ninayo crusher lakini niko nayo Tanga lakini biashara imeyumba halafu ushindani ni mkubwa sana kwa hio nilikuwa nataka niihamishie Mkoa mwengine,natumai umenielewa ndugu.