Biashara ya kuponda kokoto

Biashara ya kuponda kokoto

west ham

Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
10
Reaction score
0
Habari zenu wadau.Ninaomba ushauri kuhusu biashara ya kutengeneza kokoto,jee ni Mikoa gani ambayo ninaweza kuwekeza na kunilipa?
Natanguliza shukurani.
 
Mwanza ndo baba lao!
kiujumla mikoa ya kanda ya ziwa.
 
Hujaeleweka mkuu, fafanua
Ni kwamba tayari ninayo crusher lakini niko nayo Tanga lakini biashara imeyumba halafu ushindani ni mkubwa sana kwa hio nilikuwa nataka niihamishie Mkoa mwengine,natumai umenielewa ndugu.
 
Back
Top Bottom