Biashara ya kutembeza vitumbua au mayai Kariakoo, Mnazi mmoja na Posta

Tommy 911

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
600
Reaction score
510
Habarini Wana JF,,

Kama kichwa kunavyosem natak niwekeze io sekta nitafute vijana wapige kazi. je faida yake ipoje na changamoto zake. nahitaj ushaur kwa wenye kuijua hii biashara.

@everyone
 
habarini Wana jf,, kama kichwa kunavyosem natak niwekeze io sekta nitafute vijana wapige kazi. je faida yake ipoje na changamoto zake. nahitaj ushaur kwa wenye kuijua hii biashara.

@everyone
Nataka niwekeze io sekta nitafute vijana wapige kazi. je faida yake ipoje na changamoto zake.
 
Yupo dogo mmoja anavaa, miwani suruali nyeupe, anatoka mnazi mmoja anaingia ilala anarudi katikati kkoo.. anavaa smart naona anateseka tu. Atachanganyikiwa si siku nyingi na mayai yake
 
Yupo dogo mmoja anavaa, miwani suruali nyeupe, anatoka mnazi mmoja anaingia ilala anarudi katikati kkoo.. anavaa smart naona anateseka tu. Atachanganyikiwa si siku nyingi na mayai yake
kwamba hauzi au?
 
ni sawa na biashara ya alkhasus, hao wafanyakazi hawakaagi.
 
Inalipa hiyo biashara ila nibora ukamchukue kutoka kijijini kwenu then umpe makazi


Wa hapa mjini washekua wajanja wanafanya na mitaji yao wenyewee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]hii hadi uwapate watu wa kutoka mbali usukumani au kigoma huko ila wa dar wauzaji wa sura hawawezi
Ila huwa nawaona wale wanaotembeza barafu/ice cream
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…