MTOTO KITAA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 245
- 115
Wakuu habarii?
Naomba kwa MTU yoyote ambaye anafahamu hii biashara ya kuchukua move kwenye mtandao kisha kubarn na kuziweka kwenye CD, au dvd, namaanisha biashara ya aliyokuwa anafanya lufufu,
pia naomba unifahamishe je kuna sehemu maalumu wanazozalisha hizo CD, na kwa bei gani kuzalisha hizo CD, pia je wapi wanauza Yale makava ya zile CD, naamini jamii forum hakishindikani kitu,msaada nitapata, asanteni.