Biashara ya kutengeneza na kuuza "Askrimu" (Ice Lollies)

Asante sana kwa ushauri mzuri mkuu, barikiwa sana sana.
Vipi faida yake ikoje mkuu? I mean Ice cream
 
Changamoto mpya... Marufuku ya serikali juu ya matumizi ya vifungashio vya plastic. Serikali inaruhusu vifungashio ambavyo vina nembo ya TBS tu. Kwa wajasiliamali wadogo hii ni changamoto mpya
 
Habari za mihangaiko wasakatonge wenzangu[emoji91]

Kwasasa nipo MBEYA naomba kujua kwa wale wazoefu wa uzalishaji wa ice lolly (lambalamba) mambo yafuatayo:
[emoji736] Vifaa hasa vya uzarishaji.
[emoji736] Gharama za uendeshaji
[emoji818] Changamoto zake
[emoji818] Soko lake pia(japo mimi nimetarget kwa wanafunzi wa sekondari Pekee).

Kutegemee mshahara pekee naona itanichikua mda mrefu kufikia malengo yangu...

Natanguliza shukurani[emoji120]
 
Hapo kwenye ladha huwezi weka ladha tofauti na vanilla?
Dah!! Mimi nilipo maziwa fresh lita bei rahisi sana so natengeneza za maziwa matupu bila maji ... zipo vizuri sana tatizo soko lipo chini sana...
 
Dah!! Mimi nilipo maziwa fresh lita bei rahisi sana so natengeneza za maziwa matupu bila maji ... zipo vizuri sana tatizo soko lipo chini sana...
Upo wapi mkuu?
 
Dah!! Mimi nilipo maziwa fresh lita bei rahisi sana so natengeneza za maziwa matupu bila maji ... zipo vizuri sana tatizo soko lipo chini sana...
Tafuta masoko hasa mashuleni na masokoni huko kuna hela!! Usisubir wakufate ulipo
 
Njoo nikuuzie na machine ya cone upige pesa.
 
Naomba unielekeze kiundan kuhus biashara
 

Bado unauza ice creamu? Nimeona umesena unauza jumla, naomba kama bado unauza kwa jumla tuwasiliane uniuzie. Nataka nianze mwaka kivingine!
 
Anayeuza ice cream kwa jumla tuwasiliane tufanye biashara
 
Mbeya kungekua hakuna soko basi bakharesa asingeleta ice roll ya ukwaju na maziwa. Na anafanya kazi mwaka mzima.
Kama walivosema wana jamvi hapo juu kikubwa Ni ubunifu.
 
Reactions: PYD
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…