hajjmakwato
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 233
- 156
Ice cream zipi? za kupima kwenye cone ama za kufunga kwenye vifuko au azam ice cream zilizopakiwa tayari?
Hii biashara anafanya mjomba wangu, ina hela kinoma...
Unapika uji wa ngano kwenye sufuria ila uwe mwepesi halafu unachukua uji unachanganya kwenye ubuyu uliouloweka na maji ya moto then unakoroga baada ya hapo unafikisha kutoa mbegu then inakuwa tayari.Hello,
ushafahamu jinsi ya kutengeneza hizi ice cream? Mi binafsi natafuta ujuzi huu, ila bado sijapata kufahamu.
Thanks.Unapika uji wa ngano kwenye sufuria ila uwe mwepesi halafu unachukua uji unachanganya kwenye ubuyu uliouloweka na maji ya moto then unakoroga baada ya hapo unafikisha kutoa mbegu then inakuwa tayari
Ukijibiwa nitafaidika nami!Kuna jamaa nilimkuta sabasaba mwaka huu ana mashine inachanganya na kutoa ice cream zile za kwenye kopo kama bakhresa alinambia ile mashine ni 3m je kuna yeyote mwenye kujua upatikanaji wake au zipo ndogo ile mimi naona ina pesa sana maana utauza kwa kupack kwenye kopo au kuwauzia wale wa kuzunguka kitaa lambalamba
Ubuyu n wa vipeke na unaweza ukachanganya na ukwaju. But jinc ya kuzifanya ziwe laini hapo labda tupate utaaalmu kwa wanajamii