geofreyngaga
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 658
- 946
material na machine ni expensive sana,kibongobongo hutaweza ku compete na wachina ambao wanapata materi kwa bei rahisi kutoka kwao.
Mimi nakushauri kutengeneza hii misumari wanayotumia kutengeneze majahazi ama vyombo vya bahrini!
Kwa kifupi watengenezaji wengi na wenye uhakika ni kutoka unguja/pemba ila kwa upande wa huku Bara soko lipo sana ila mafundi ni wachache ama hakuna wa kusambaza misumali mingi kwa muda muafaka!
Hivyo basi fanya survey katika utengenezaji wa misumari ya namna hiyo utapata soko la uhakika sana kuliko hii misumani mingine iliyozoeleka kutumika!
Sent from my iPad using JamiiForums
Machine ni kati ya USD 4000 - 10000