Biashara ya kutengeneza na kuuza misumali

geofreyngaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
658
Reaction score
946
Hbr wanaJF
Kwa yeyote mwenye kujua biashara ya kutengeneza na kuuza misumali ya ukubwa mbalimbali tafadhali naomba anifahamishe kuhusiana na
1) soko
2) gharama za udhalishaji
3) changamoto
4) mashine za kutengenezea
5) mengineyo
 
material na machine ni expensive sana,kibongobongo hutaweza ku compete na wachina ambao wanapata materi kwa bei rahisi kutoka kwao.
 
Mimi nakushauri kutengeneza hii misumari wanayotumia kutengeneze majahazi ama vyombo vya bahrini!
Kwa kifupi watengenezaji wengi na wenye uhakika ni kutoka unguja/pemba ila kwa upande wa huku Bara soko lipo sana ila mafundi ni wachache ama hakuna wa kusambaza misumali mingi kwa muda muafaka!
Hivyo basi fanya survey katika utengenezaji wa misumari ya namna hiyo utapata soko la uhakika sana kuliko hii misumani mingine iliyozoeleka kutumika!

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kwani viwanda vyetu vya chuma hawatengenezi hizo material? hizo machine ina-range ya bei gani?
Kama unaweza kunipa tofauti ya gharama ya material zinazotoka China na za bongo ntashukuru.
 
Mimi nakushauri kutengeneza hii misumari wanayotumia kutengeneze majahazi ama vyombo vya bahrini!
Kwa kifupi watengenezaji wengi na wenye uhakika ni kutoka unguja/pemba ila kwa upande wa huku Bara soko lipo sana ila mafundi ni wachache ama hakuna wa kusambaza misumali mingi kwa muda muafaka!
Hivyo basi fanya survey katika utengenezaji wa misumari ya namna hiyo utapata soko la uhakika sana kuliko hii misumani mingine iliyozoeleka kutumika!

Sent from my iPad using JamiiForums

Nashukuru kwa kuniongezea maarifa, ila na shaka na ukubwa wa soko japo ntalifanyia utafit ili swala uenda ndio kunakolipa.
 
Back
Top Bottom