Biashara ya kutengeneza na kuuza mvinyo wa zabibu

Biashara ya kutengeneza na kuuza mvinyo wa zabibu

The Eye

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2020
Posts
278
Reaction score
393
Wakuu habari zenu...

Natamani kujua kuhusu hii biashara ya kutengeneza na kuuza mvinyo wa zabibu...

Mtaji
Vifaa

Upatikanaji wa mazao
Jinsi ya kutengeneza
Kuhifadhi
Soko lake...

Karibuni kwa michango yenu wakuu
 
Mvinyo wa zabibu ni mvinyo classic tangu enzi za wahenga. Ni watu wa mashariki ya kati ndiyo walivumbua mvinyo wa zabibu na Warumi waliupandisha thamani.

Biashara ya mvinyo huu imetajirisha wengi, kitu cha muhimu ni kutengeneza mvinyo bora.
 
Wakuu habari zenu...

Natamani kujua kuhusu hii biashara ya kutengeneza na kuuza mvinyo wa zabibu...

Mtaji
Vifaa

Upatikanaji wa mazao
Jinsi ya kutengeneza
Kuhifadhi
Soko lake...

Karibuni kwa michango yenu wakuu
Ukikosa kabisa mdau humu hebu tembelea kiwandani Bihawana au tembelea ofisi za SIDO zilizo karibu yako watakupa muongozo.
 
Wakuu habari zenu...

Natamani kujua kuhusu hii biashara ya kutengeneza na kuuza mvinyo wa zabibu...

Mtaji
Vifaa

Upatikanaji wa mazao
Jinsi ya kutengeneza
Kuhifadhi
Soko lake...

Karibuni kwa michango yenu wakuu
Kutengeneza "MVINYO" ni sanaa, mbali ya kujua basics za kuchakata matunda yanayofaa kwa mvinyo kama zabibu na mengineyo >pasteurization>fermentation>filtration>bottling...etc
sanaa zaidi ipo kwenye ingredients za ziada ili kupata ladha yenye kuvutia na kusisimua wanywaji.

Karibu sana...
 
Back
Top Bottom