B BFREDDY Member Joined Mar 28, 2016 Posts 9 Reaction score 1 Apr 7, 2016 #1 Wapendwa wana JF hamjambo? Nataka kuanzisha biashara ya Tigo pesa,m-pesa na airtel money.Nifuate taratibu zipi na niwe na mtaji wa kiasi gani? Naomba kwa wenye uelewa wa hilo anijuze
Wapendwa wana JF hamjambo? Nataka kuanzisha biashara ya Tigo pesa,m-pesa na airtel money.Nifuate taratibu zipi na niwe na mtaji wa kiasi gani? Naomba kwa wenye uelewa wa hilo anijuze