Biashara ya kutoa huduma ya pesa kwa njia ya mitandao ya simu

Biashara ya kutoa huduma ya pesa kwa njia ya mitandao ya simu

BFREDDY

Member
Joined
Mar 28, 2016
Posts
9
Reaction score
1
Wapendwa wana JF hamjambo? Nataka kuanzisha biashara ya Tigo pesa,m-pesa na airtel money.Nifuate taratibu zipi na niwe na mtaji wa kiasi gani? Naomba kwa wenye uelewa wa hilo anijuze
 
Back
Top Bottom