Biashara ya kutoboa kirahisi Dar 2024

Mm nilianza na milioni moja Tu, but now si haba. Tatizo michanganuo mingi inatengezwa na watu ambao hawajawahi Fanya biashara labda mleta Uzi tuambie kama umeshawahi Fanya biashara yeyote
 
Mm nilianza na milioni moja Tu, but now si haba. Tatizo michanganuo mingi inatengezwa na watu ambao hawajawahi Fanya biashara labda mleta Uzi tuambie kama umeshawahi Fanya biashara yeyote
Unafanya biashara gan uliyoanza nayo kwa mil 1?
 
Tunaomba utupe mchanganuo wako kwa biashara uliyo anza nayo kwa million moja ili kwa vijana wenye mitaji kama hiyo wafanye jambo.
Mm nilianza na milioni moja Tu, but now si haba. Tatizo michanganuo mingi inatengezwa na watu ambao hawajawahi Fanya biashara labda mleta Uzi tuambie kama umeshawahi Fanya biashara yeyote
 
Ukitaka Kuwekeza Biashara Kwa Hiyo Pesa Hapa Jiji La Sodoma. Wekeza Kwenye Vishwaji Baridi Na Pombe. Fanya Eneo Liwe Local. Usipate Stress Sana Usiwe Na Tamaa Na Mafanikio Ya Haraka Hakika Hutojutia. Biashara Ya Nafaka Kwa Hiyo Pesa Ni Ndogo Sana
 
Mie nataka biashara ya chips kwenye vyuo vyote vya dar
 
Watu wa sampuli hii niwakupigwa nyundo unaleta mada isiyo na kichwa wala miguuu then unawambia watu wakufuate PM mtaji wenyewe sasa eti 5m
 
Una hela lakini nimuoga wakufanya biashara. Nikushauri kitu kimoja wekeza kwenye experience na sio idea hiyo ela yako
 
Experiences kivipi mkuu sijaelewa
Experience uliyokuwa nayo kwenye jambo lolote ndio uwekeze hela yako huko, maana hiyo jambo walijua in and out

Idea ndio kwanza unaanza kujifunza na huna experience nayo so tegemea lolote kwakuwa huna experience kwenye hiyo idea mpya
 
Fanya mpango wa mchanganuo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…