D Daichii Member Joined Jul 11, 2013 Posts 91 Reaction score 24 Jan 21, 2018 #1 Habari zenu wanajamvi,ni matumain yangu mko salama. Naomba kuuliza biashara ya kutumia selcom machine inalipa kwa wanaoifahamu? Pili ukiwa na ile machine uweke biashara gani ya kuisupport ili faida iwe nzuri zaid? Aksanteni
Habari zenu wanajamvi,ni matumain yangu mko salama. Naomba kuuliza biashara ya kutumia selcom machine inalipa kwa wanaoifahamu? Pili ukiwa na ile machine uweke biashara gani ya kuisupport ili faida iwe nzuri zaid? Aksanteni
JoJiPoJi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2009 Posts 2,935 Reaction score 3,346 Jan 21, 2018 #2 Faida ipo inategemea na eneo ulipo na Huduma utakazotoa