Biashara ya kutumia Selcom inalipa?

Biashara ya kutumia Selcom inalipa?

Daichii

Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
91
Reaction score
24
Habari zenu wanajamvi,ni matumain yangu mko salama.

Naomba kuuliza biashara ya kutumia selcom machine inalipa kwa wanaoifahamu?

Pili ukiwa na ile machine uweke biashara gani ya kuisupport ili faida iwe nzuri zaid?

Aksanteni
 
Faida ipo inategemea na eneo ulipo na Huduma utakazotoa
 
Back
Top Bottom