Biashara ya Kuuza chips

Biashara ya Kuuza chips

Salumsas

Member
Joined
Jun 19, 2020
Posts
39
Reaction score
62
Habari Wakuu

Wanajamvi Leo nataka nijuzwe kuhusu hii biashara ya chips.

Jee ni inafaida kama nitapata location nzuri..

Pia Bei ya kabati la kioo kubwa la kuweka chips na Kuku linauzwa bei gani ?

Na jiko la fyer la kukaanga chips Bei gani?
Screenshot_20200924-201457_WhatsAppBusiness.jpg
Screenshot_20200924-201501_WhatsAppBusiness.jpg
 
Hii biashara nilishawahi ifanya binafsi ilinishinda coz inahitaji uangalizi mkubwa sana.inahitaji uwepo wako mda wote la sivyo utawaneemesha wafanyakazi wako.kama unafungua hii biashara hakikisha unaisimamia wewe mwenyewe.utajikuta mtaji wako woteee unakata taratibu ukiwaachia wenyewe.
 
Nitasimamia mimi mwenyewe
 
Ukipata location nzuri hakika utaifurahia ila ni kazi ambayo inahitaji uangalizi wa karibu mno bila hivyo utaneemesha watu na mwisho wa siku uangukie pua,km una kazi nyingine ambayo itakuweka sana bize na kushindwa kusimamia kwa karibu biashara yako biashara ya chips achana nayo maana kila siku utakua unabadilisha vijana...km muda ukikubana sana na una uhitaji wa kufanya hii biashara ukipata kijana muaminifu kubaliana nae yeye ndio akulipe kwa siku
 
Hiyo biashara ukitaka iyende sawa icmamie kama wiki au mwezi baada ya hapo utakuwa umejua kila kitu kuhusu mauzo unafanya hivi unaangali mtaji wako NI sh ngapi,unawaambia ww kila siku wakupe kiasi Fulani na mtaj wako ubaki pale ,kwa mfanoo unawaambia uzeni lkn mm nipeni 20000 na mtaji ubaki pale pale na baada ya ww kupewaw pesa faida inazidi ndio yao, ukiendanao hivyo hauwezi feli ww hkikisha mtaji wako upo ww agulia mtaji wako tu

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Hii biashara bana (nishaifanya) ina vibweka sana ila iko hivi kabla hujaanza...

Kaulize Gunia Moja inatumia mafuta kiasi gani ?? Alaf nenda maduka ya jumla kaulize mafuta bei gani

Alaf rudi piga hesabu gunia la viazi nikitoa gharama za wese na posho za vijana kwa siku...na gharama za viungo unabaki na nn
Bado gharama za usafiri ukienda kuchukua vitu sokoni na gharama za pango ndio ianze kukulipa wewe. Plus ujue utahitaji significant turnovers ku survive. Raha ya Ngoma Bana ingia uicheze.

Alaf urudi hapa.
Hii biz ilinishinda, its easier said than done.
Gharama za wese sio poa na Gharama za Vifaa utaja note ni mara mia bora ufungue genge au barber shop, shit will save u less stress.
 
Haya mambo magumu, kuna mtu atakuja hapa anatoa confension alivyopata faida kutokana na hii issue hadi unasema yeees! Huku ndo kwenyewe

Af baadae unakutana na kitu kama hii unakua mdogo kwanza😁
 
Haya mambo magumu, kuna mtu atakuja hapa anatoa confension alivyopata faida kutokana na hii issue hadi unasema yeees! Huku ndo kwenyewe

Af baadae unakutana na kitu kama hii unakua mdogo kwanza[emoji16]

Watu wana kurupuka hawajui kwanza kabisa licha ya gharama za mafuta...

Wajiulize hilo jiko lake litakua la gas au mkaa au umeme. Ujue kabisa mtungi wa gas mkubwa ni 80,000/= bila usafiri, mkaa mara nyingi watu hatupendelei sababu mgahawa mazingira yataonekana ya kiswahili sanaa...umeme sasa...hehe kupika chips all day na deep fryer kwa kutumia umeme...nadhani mleta mada ajitathmini sanaa gharama za umeme na gas....

Mtungi mkubwa ukienda nao two weeks hutoboi nao.....(nishafanya hii biz ninajua nachosema), sasa njoo jumlisha na gharama za wese, posho za wafanyakazi, rent fanya u break it down kwa siku, viungo sijui nyanya, mayonaisse and the likes..alaf tafakari mauzo yako....Je utatoboa hadi ujilipe na wewe au utafanya biashara uonekane tu na we umo ?? [emoji16][emoji38][emoji1787]

Kumbuka kama una frame TRA watahusika....pia. Gharama za TakaTaka...Logistics za material zako za upishi na mengine na gharama za usafi wa eneo.

Hii biashara fanya kama vitu nlivyokuambia awali ni utavimudu + stress zake otherwise bora ufanye genge/saluni mara kumi hata duka la mangi (kama we mgumu nunua boda boda au toyo (guta) endesha mwenyewe komaa usimpe mtu hela utaiona)

Bruh hizi biashara sio poa mazee.
 
Wewe hii biashara ulikuw unafanya kishua sana ndomana imekushinda,lkn pia umepiga hesabu za viepe pekeake umesahau kwamba viepe huwa vinaenda na viambata mfn mishkaki,kuku,ndizi nk,wewe umeangalia viazi tu....usiwakatishe watu tamaa kama jambo limekuahinda ni wewe sio kila mtu litamshinda
 
Sawa Fanya Kiswazi Utajirike.

Unapolala Ndio Tulipo Amkia
 
Umenena. Mtu atoe prons na cons na sio kum pull down mtu.
Wewe hii biashara ulikuw unafanya kishua sana ndomana imekushinda,lkn pia umepiga hesabu za viepe pekeake umesahau kwamba viepe huwa vinaenda na viambata mfn mishkaki,kuku,ndizi nk,wewe umeangalia viazi tu....usiwakatishe watu tamaa kama jambo limekuahinda ni wewe sio kila mtu litamshinda
 
Haya mambo magumu, kuna mtu atakuja hapa anatoa confension alivyopata faida kutokana na hii issue hadi unasema yeees! Huku ndo kwenyewe
Kweli anakuwa kama amekupukuchua taratibu aisee biashara izi.
 
Frankly speaking, nimeifanya tangu 2019 hadi sasa sina jibu nitaendelea au ndio basi tena.

Kikubwa kilichonipa short break ni ughali wa mafuta. Tangu kindoo cha lita 9 kiuazwe 50,000, viazi 1,000 @kg na tray ya mayai 9,000 nilikaa chini nikafanta review nikajikuta kila tray inanilipa chini ya 1,000 nikajidharau kupotez muda.

Nikajipa pumziko kwanza bei ya mafuta ishuke. Sasa hivi ilipanda hadi 63,000 ile kubwa ikigonga 115,000 na kiazi 1,200 na mayai 10,000.

Wateja wanataka bei ile ile. Hata nikicheza na vipimo sina pa kuokoa.

Utafiti na time to time business review no muhimu sana. Vinginevyo unaweza kumlaumu mfanyakazi bure.
 
Back
Top Bottom