Nitasimamia mimi mwenyeweHii biashara nilishawahi ifanya binafsi ilinishinda coz inahitaji uangalizi mkubwa sana.inahitaji uwepo wako mda wote la sivyo utawaneemesha wafanyakazi wako.kama unafungua hii biashara hakikisha unaisimamia wewe mwenyewe.utajikuta mtaji wako woteee unakata taratibu ukiwaachia wenyewe.
Km ni hivyo tafuta location nzuriNitasimamia mimi mwenyewe
Haya mambo magumu, kuna mtu atakuja hapa anatoa confension alivyopata faida kutokana na hii issue hadi unasema yeees! Huku ndo kwenyeweHii biashara bana (nishaifanya) ina vibweka sana ila iko hivi kabla hujaanza...
Kaulize Gunia Moja inatumia mafuta kiasi gani ?? Alaf nenda maduka ya jumla kaulize mafuta bei gani
Alaf rudi piga hesabu gunia la viazi nikitoa gharama za wese na posho za vijana kwa siku...na gharama za viungo unabaki na nn
Bado gharama za usafiri ukienda kuchukua vitu sokoni na gharama za pango ndio ianze kukulipa wewe. Plus ujue utahitaji significant turnovers ku survive. Raha ya Ngoma Bana ingia uicheze.
Alaf urudi hapa.
Hii biz ilinishinda, its easier said than done.
Gharama za wese sio poa na Gharama za Vifaa utaja note ni mara mia bora ufungue genge au barber shop, shit will save u less stress.
Mfano wa tafiti ndo kama jamaa anachofanya kwenye uzi hapatatizo la kuingia kwenye biashara kwa kufuata mkumbo
Fanya tafti za kutosha
Haya mambo magumu, kuna mtu atakuja hapa anatoa confension alivyopata faida kutokana na hii issue hadi unasema yeees! Huku ndo kwenyewe
Af baadae unakutana na kitu kama hii unakua mdogo kwanza[emoji16]
Wewe hii biashara ulikuw unafanya kishua sana ndomana imekushinda,lkn pia umepiga hesabu za viepe pekeake umesahau kwamba viepe huwa vinaenda na viambata mfn mishkaki,kuku,ndizi nk,wewe umeangalia viazi tu....usiwakatishe watu tamaa kama jambo limekuahinda ni wewe sio kila mtu litamshindaWatu wana kurupuka hawajui kwanza kabisa licha ya gharama za mafuta...
Wajiulize hilo jiko lake litakua la gas au mkaa au umeme. Ujue kabisa mtungi wa gas mkubwa ni 80,000/= bila usafiri, mkaa mara nyingi watu hatupendelei sababu mgahawa mazingira yataonekana ya kiswahili sanaa...umeme sasa...hehe kupika chips all day na deep fryer kwa kutumia umeme...nadhani mleta mada ajitathmini sanaa gharama za umeme na gas....
Mtungi mkubwa ukienda nao two weeks hutoboi nao.....(nishafanya hii biz ninajua nachosema), sasa njoo jumlisha na gharama za wese, posho za wafanyakazi, rent fanya u break it down kwa siku, viungo sijui nyanya, mayonaisse and the likes..alaf tafakari mauzo yako....Je utatoboa hadi ujilipe na wewe au utafanya biashara uonekane tu na we umo ?? [emoji16][emoji38][emoji1787]
Kumbuka kama una frame TRA watahusika....pia. Gharama za TakaTaka...Logistics za material zako za upishi na mengine na gharama za usafi wa eneo.
Hii biashara fanya kama vitu nlivyokuambia awali ni utavimudu + stress zake otherwise bora ufanye genge/saluni mara kumi hata duka la mangi (kama we mgumu nunua boda boda au toyo (guta) endesha mwenyewe komaa usimpe mtu hela utaiona)
Bruh hizi biashara sio poa mazee.
Wewe hii biashara ulikuw unafanya kishua sana ndomana imekushinda,lkn pia umepiga hesabu za viepe pekeake umesahau kwamba viepe huwa vinaenda na viambata mfn mishkaki,kuku,ndizi nk,wewe umeangalia viazi tu....usiwakatishe watu tamaa kama jambo limekuahinda ni wewe sio kila mtu litamshinda
Wewe hii biashara ulikuw unafanya kishua sana ndomana imekushinda,lkn pia umepiga hesabu za viepe pekeake umesahau kwamba viepe huwa vinaenda na viambata mfn mishkaki,kuku,ndizi nk,wewe umeangalia viazi tu....usiwakatishe watu tamaa kama jambo limekuahinda ni wewe sio kila mtu litamshinda
Namba zako za simu??Habari Wakuu
Wanajamvi Leo nataka nijuzwe kuhusu hii biashara ya chips.
Jee ni inafaida kama nitapata location nzuri..
Pia Bei ya kabati la kioo kubwa la kuweka chips na Kuku linauzwa bei gani ?
Na jiko la fyer la kukaanga chips Bei gani?
View attachment 1579676View attachment 1579677
Kweli anakuwa kama amekupukuchua taratibu aisee biashara izi.Haya mambo magumu, kuna mtu atakuja hapa anatoa confension alivyopata faida kutokana na hii issue hadi unasema yeees! Huku ndo kwenyewe