SMART PASSENGER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 968
- 1,022
Asante mkuu kwa ushauriUkipata sehem center yenye traffic (people moving) karibia na lami utapiga kichz. Best of Luck !!
Hajaomba ushauri wa mtaji mkuu![emoji23] [emoji23] [emoji23]Unamtaji kiasigani
mtaji nina laki nne nataka kujua kama hii biashara inaweza kunitoaUnamtaji kiasigani
Kuna Uzi humu jinsi ya kuanzisha hiyo biashara kwa mtaji wa 400k utafute then kuna nyuzi kibao kuhusu iyo biashara.mtaji nina laki nne nataka kujua kama hii biashara inaweza kunitoa