AsanteWe fanya tu changamoto utakutana nazo humohumo na zitakufunza kwelikweli
Asantee Kwa ushauri mkuuFanya utafiti mkuu na sio lazima ukachukue singida. Hata hapa kati kati kuanzia gairo mpaka dodoma vijijin huko kuku wapo wengi tu tena inaweza kua bei rahisi kuliko singida.. Tafuta connection tu vijijin huko..
Asantee mkuuNenda jukwaa la kilimo na ufugaji.
Wameongelea biashara ya kuku karibu wote
Naimani utapata maelezo ya kutosha
Mkuu umemaliza kozi gani?Chuo gani?GPA ya ngapi?Una mtaji wa kiasi gani?Malengo yako ni kutengeneza faida kiasi gani katika biashara hii ya kuku kutoka singida?Habarini za muda huu wana Jf
Kwanza nipende kumshukuru Mungu Kwa kuweza kuiona siku ya leo bila kupoteza muda niende Moja Kwa Moja kwenye mada.
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 nimemaliza chuo mwaka huu mwezi wa 8 natamani kufanya biashara ya kuku wa kienyeji kutoka Singida kupeleka Dar biashara hii imekuwa akilini mwangu muda mrefu Sana na natamani kuifanya naomba ushauri wale wazoefu wa hii biashara pamoja na changamoto ambazo zipo Kwa hii biashara.
Asantenii
We fanya tu changamoto utakutana nazo humohumo na zitakufunza kwelikweli
Mkuu umemaliza kozi gani?Chuo gani?GPA ya ngapi?Una mtaji wa kiasi gani?Malengo yako ni kutengeneza faida kiasi gani katika biashara hii ya kuku kutoka singida?
Nashukuru Kwa ushauri nzuriiiHii ni point kubwa sana akiifanyia kazi atafika mbali, na hua tunatatizo la kutofanya tafiti juu ya biashara sasa ni tatizo kwanza anatakiwa afahamu kuku wanapatikana singida sehemu gani na kwa bei gani, haya soko lake ni mahotel au masokoni je ana uhakika wa soko hapo anatakiwa yeye mwenyewe atafute soko la uhakika anapokwenda kutafuta soko asiseme ndio anaanza aseme nilikua napeleka dodoma sasa nataka kuleta huku dar ili wale wajue yeye sio mgeni wa biashara ya kuku maana wakijua ni mgeni watamsumbua kikubwa ajiamini sana, apige hesabu bei ya mzigo na bei ya sokoni je anabaki na faida hii yote afanye mwenyewe, halafu aende huko singida sasa aingie field anaweza kubeba kuku wachache wa majaribio ili ajionee na kujifunza zaidi akisubiri aelezwe changamoto hapa atakua amepotea