Habarini za muda huu wana Jf
Kwanza nipende kumshukuru Mungu Kwa kuweza kuiona siku ya leo bila kupoteza muda niende Moja Kwa Moja kwenye mada.
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 nimemaliza chuo mwaka huu mwezi wa 8 natamani kufanya biashara ya kuku wa kienyeji kutoka Singida kupeleka Dar biashara hii imekuwa akilini mwangu muda mrefu Sana na natamani kuifanya naomba ushauri wale wazoefu wa hii biashara pamoja na changamoto ambazo zipo Kwa hii biashara.
Asantenii