Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss unaongelea kilichoo andaliwa tayari kwa kupikwa au Yale majani yaliyochumwa toka mtini.
Sawa sawa kiongoziNgoja waje kukupa muongozo...
Hiyo biashara ifanye iwe kama side hustle maana wengi wetu Tanzania sio walaji wa mbogamboga asa kisamvuHabari
Nimewaza kuanza biashara ya kuuza mboga ya kisamvu
Naombeni mawazo yenu juu ya changamoto zabiashara hii,..mfano kujua tofauti ya kisamvu na kisamvu-mpira, uhifadhi wa kisamvu, uaandaaji, uuzaji, n.k
nitashukuru sana kwa mawazo yenu
Asanteni
Asante sana kwa ushauri kiongozi. Nashukuru sanaHiyo biashara ifanye iwe kama side hustle maana wengi wetu Tanzania sio walaji wa mbogamboga asa kisamvu
Ungeifanya kwa oda . Anayeitaji anakucheki before kutengeneza vinginevyo mboga itakua inlala bila walaji.
Ushauri wangu uza mboga zote hata kama mtu ali kisamvu basi aondoke na spinach au mchicha