Biashara ya kuuza mboga ya kisamvu

Biashara ya kuuza mboga ya kisamvu

ItsMe92

Member
Joined
Nov 29, 2021
Posts
22
Reaction score
22
Habari

Nimewaza kuanza biashara ya kuuza mboga ya kisamvu

Naombeni mawazo yenu juu ya changamoto zabiashara hii,..mfano kujua tofauti ya kisamvu na kisamvu-mpira, uhifadhi wa kisamvu, uaandaaji, uuzaji, n.k

nitashukuru sana kwa mawazo yenu

Asanteni
 
Boss unaongelea kilichoo andaliwa tayari kwa kupikwa au Yale majani yaliyochumwa toka mtini.
 
Habari

Nimewaza kuanza biashara ya kuuza mboga ya kisamvu

Naombeni mawazo yenu juu ya changamoto zabiashara hii,..mfano kujua tofauti ya kisamvu na kisamvu-mpira, uhifadhi wa kisamvu, uaandaaji, uuzaji, n.k

nitashukuru sana kwa mawazo yenu

Asanteni
Hiyo biashara ifanye iwe kama side hustle maana wengi wetu Tanzania sio walaji wa mbogamboga asa kisamvu

Ungeifanya kwa oda . Anayeitaji anakucheki before kutengeneza vinginevyo mboga itakua inlala bila walaji.

Ushauri wangu uza mboga zote hata kama mtu ali kisamvu basi aondoke na spinach au mchicha
 
Asante sana kwa ushauri kiongozi. Nashukuru sana
 
Mi pia nina wazo hilo ila in different way kama uko interested tujoin hit my pm
 
Back
Top Bottom