Kuna vitu viwili wapaswa kuelewa
1.Kuna kibali na usajili
Ili uweze kuifanya biashara hii ya uvunaj mazao ya misitu lazma uwe na usajili toka maliasili via TFS ........baada ya kupata usajili ukitaka kwenda kuchukua mkaa wako kuuleta mjini utakat T.P (transit pass )umeita kibali ..
2.wachomaji mkaa kule vijijin ambao huchoma na kuutayarsha kuwauzia watu wenye usajili kwa ajili ya kupeleka mjin wao huwa wanakata na kuchoma bila kibal huko kijijin (nani anawaona TFS wako mjin tu )ila inatakiwa wew ukiwa na usajili uwapatie lesen ambayo utapewa ukienda TFs kulipia kwaajili ya kutoa mzigo ......
Kwaujumla haya n maelezo ya kina ila kwaswal lako kule kijijin wanaokat hawana kibal n shughul hufanyka msitun