Beatus david
Member
- Oct 31, 2017
- 27
- 9
Kuna vitu viwili wapaswa kuelewaKama kichwa cha Habari kinavyoeleza Naomba kwa Yeyote mwenye kuelewa Taratibu za kupata vibali vya kuchoma mkaa anijulishe bila kusahau changamoto za Biashara hiyo
Ahsante umenipa mwangazaKuna vitu viwili wapaswa kuelewa
1.Kuna kibali na usajili
Ili uweze kuifanya biashara hii ya uvunaj mazao ya misitu lazma uwe na usajili toka maliasili via TFS ........baada ya kupata usajili ukitaka kwenda kuchukua mkaa wako kuuleta mjini utakat T.P (transit pass )umeita kibali ..
2.wachomaji mkaa kule vijijin ambao huchoma na kuutayarsha kuwauzia watu wenye usajili kwa ajili ya kupeleka mjin wao huwa wanakata na kuchoma bila kibal huko kijijin (nani anawaona TFS wako mjin tu )ila inatakiwa wew ukiwa na usajili uwapatie lesen ambayo utapewa ukienda TFs kulipia kwaajili ya kutoa mzigo ......
Kwaujumla haya n maelezo ya kina ila kwaswal lako kule kijijin wanaokat hawana kibal n shughul hufanyka msitun
Na usajili wa kufanya biashara hii vmetolewa tayar toka septemba ...na hutolewa Mara moja kwa mwaka ....mchakato huanza mwez wa sita ..........ka utaweza ungeanza biashara ya kuni ambayo n nyepes shinda hii ili mwakan ukiwa na pesa uchukue kibal cha mkaa ukipenda ila ukianza kuni hutoziacha ..niaminiKama kichwa cha Habari kinavyoeleza Naomba kwa Yeyote mwenye kuelewa Taratibu za kupata vibali vya kuchoma mkaa anijulishe bila kusahau changamoto za Biashara hiyo
KaribuAhsante umenipa mwangaza
Kwa Arusha sijajua soko la kuni likoje ila nitalifuatilia nione soko lake likojeNa usajili wa kufanya biashara hii vmetolewa tayar toka septemba ...na hutolewa Mara moja kwa mwaka ....mchakato huanza mwez wa sita ..........ka utaweza ungeanza biashara ya kuni ambayo n nyepes shinda hii ili mwakan ukiwa na pesa uchukue kibal cha mkaa ukipenda ila ukianza kuni hutoziacha ..niamini
Na hivyo vibali vya mkaa hua vinatolewa kwa bei ganiNa usajili wa kufanya biashara hii vmetolewa tayar toka septemba ...na hutolewa Mara moja kwa mwaka ....mchakato huanza mwez wa sita ..........ka utaweza ungeanza biashara ya kuni ambayo n nyepes shinda hii ili mwakan ukiwa na pesa uchukue kibal cha mkaa ukipenda ila ukianza kuni hutoziacha ..niamini
Kuotesha miti ni moja ya masharti ya kupata hiyo leseni Serikali ina Akili kuliko Wewe usifikiri wanatoa tuu lesenimkikata hyo miti pandeni mingine....
nyie ndio mnasababisha joto na uharibifu wa ardhi
serikali yatakiwa isiwape hivyo vibali... chombo kikikamatwa na mkaa kinakuwa mali ya serikali...
ukikamatwa unachoma mkaa faini iwe 20mil au kifungo cha miaka 10 jela au vyote....
pia washike mali za wachoma mkaaa
OkKwa Arusha sijajua soko la kuni likoje ila nitalifuatilia nione soko lake likoje
Rubbish ...usikurupuke na maneno ya vijiwen ....unakamatwaje na una vibalimkikata hyo miti pandeni mingine....
nyie ndio mnasababisha joto na uharibifu wa ardhi
serikali yatakiwa isiwape hivyo vibali... chombo kikikamatwa na mkaa kinakuwa mali ya serikali...
ukikamatwa unachoma mkaa faini iwe 20mil au kifungo cha miaka 10 jela au vyote....
pia washike mali za wachoma mkaaa
nipo dar sikuhizi watu wagumu kukopeshaUpo wapi,Kama inalipa kwa nini usikope ukaongeza mtaji
hapana bado. sana kwasababu asilimia 99 ya watanzania hawawezi Ku afford gasHii biashara si imepigwa marufuku
nipo dar es salaamUpo mkoa gani
Hii business ni nzuri sana maana kupika ni lazimahapana bado. sana kwasababu asilimia 99 ya watanzania hawawezi Ku afford gas