Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipia vibali..usizidishe mzigo,fuata utaratibu elekezi..
kata mti panda miti.
Kila lakher..
plan yang ni kuwa msafirishaji tu so nitakuwa natafuta mzigo ulo tayar kwa ajili ya kuuleta sokoni so sidhani kama nitakata mti thankx
asante mkuu. Nimefatilia kwa huyu mwenyeji wangu ambaye ananifumdisha hii biashara. Ye ameifanya miaka 10, na naona maendleo yake mazuri. Mtaji wake uko njema amehamia kwenye mbao
Nakushauri nenda dar es salaam, kodi banda lako la kushushia mzigo/mkaa, bei ni 50,000/= hadi 55000/= kwa gunia kwa wakati wa mvua za vuli na masika bei hupanda mpaka 70, 80, ni lazima ufike dsm kufanya survey ya soko, soko la mkaa dsm ni kubwa sana hasa uswazi watu wengi matumizi mengi.
According to your buz plan, unatarajia kuanza kwa mtaji wa kiasi gani?
nashukuru mkuu
una maanisha kukodi fremu si ndio mkuu
Unategemea kutoa wapi mzgo ili kuufikisha dar?? Na umepata kibali?
Handeni tanga
Kibali ni 265,000 per yr
Nenda MALIASILI WATAKUPA UTARATIBUHabari, samahani naomba mwenye uelewa wa namna ya kupata kibali cha kusafirisha na kuuza mkaa. Ni wapi au mamlaka gani inahusika na kutoa kibali cha kusafirisha na kuuza mkaa? Na pia gharama hadi kupata kibali zikoje? KARIBUNI KWA USHAURI