Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

Lipia vibali..usizidishe mzigo,fuata utaratibu elekezi..
kata mti panda miti.
Kila lakher..
 
Lipia vibali..usizidishe mzigo,fuata utaratibu elekezi..
kata mti panda miti.
Kila lakher..

plan yang ni kuwa msafirishaji tu so nitakuwa natafuta mzigo ulo tayar kwa ajili ya kuuleta sokoni so sidhani kama nitakata mti thankx
 
plan yang ni kuwa msafirishaji tu so nitakuwa natafuta mzigo ulo tayar kwa ajili ya kuuleta sokoni so sidhani kama nitakata mti thankx

Kunagharama lazima ulipe kwaajili ya upandaji miti..
Ukikata kibali yote hayo utajumuishiwa..sikushauri utumie njia zapanya kwenye hiyo biashara kwani utaangukia pua..wakaguzi ni wengi na kuhonga wote hutoweza.
Kila lakheri
 
asante mkuu. Nimefatilia kwa huyu mwenyeji wangu ambaye ananifumdisha hii biashara. Ye ameifanya miaka 10, na naona maendleo yake mazuri. Mtaji wake uko njema amehamia kwenye mbao

Vipi kuhusu usumbufu anasemaje? Hasa kwa mkaa wa kusafirisha, naskia hata kama una documents zote ila usumbufu kama kawa
 
Habari za jion wana jamii wenzangu!!, hakika mko na afya njema

Nimekuja humu kupata more details kuhusu biashara ya mkaa ambayo naitegemea kuianza miez michache ijayo

By the way nimepata baadhi ya info na nimeshafanya bussines plan kuhusu hii biashara, ila naitaji kupata zaid taarifa ya masoko ktk hii biashara hasa ktk Jiji la Dar es Salaam

Kwaio ningependa kujua masoko ya hii biashara yanapatikana wapi kwa jiji la dar es salaam?

Pia kama kuna mtu ambaye amefanya hii biashara ningependa kushare nae uzoefu wake ktk hii biashara

N.B pia kama kuna mchango mzuri zaid wa kunipa kuhusu hii biashara ntafurai zaid

All i need iz constructive ideas wajasiliamali wenzangu
 
According to your buz plan, unatarajia kuanza kwa mtaji wa kiasi gani?
 
Nakushauri nenda dar es salaam, kodi banda lako la kushushia mzigo/mkaa, bei ni 50,000/= hadi 55000/= kwa gunia kwa wakati wa mvua za vuli na masika bei hupanda mpaka 70, 80, ni lazima ufike dsm kufanya survey ya soko, soko la mkaa dsm ni kubwa sana hasa uswazi watu wengi matumizi mengi.
 
Nashukuru mkuu

Una maanisha kukodi fremu si ndio mkuu
 
nashukuru mkuu

una maanisha kukodi fremu si ndio mkuu

ndiyo namaanisha frem/banda la kushushia, kama haiwezekani itabidi uje kupita banda moja baada ya jingine kusaka soko ukipata mabanda mawili yanatosha hao wawili watakuunganisha kwa wafanyabiashara wengne tatizo la mjini dsm usiingie kwenye biashara kwa pupa watakufilisi gafla hasa madalali watakula kuliko wewe itakuwa mwanzo wa kufilisika
 
Unategemea kutoa wapi mzgo ili kuufikisha dar?? Na umepata kibali?
 
Habari, samahani naomba mwenye uelewa wa namna ya kupata kibali cha kusafirisha na kuuza mkaa. Ni wapi au mamlaka gani inahusika na kutoa kibali cha kusafirisha na kuuza mkaa? Na pia gharama hadi kupata kibali zikoje? KARIBUNI KWA USHAURI
 
Nenda MALIASILI WATAKUPA UTARATIBU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…