Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

Nimekuelewa mkuu asante kwa ushauri.
 
Wakuu naomba kujua kuhusu biashara ya mkaa wa kutengeneza briketi, kama kuna mtu anajua soko na bei.
 
Habari njema kwa wafanya biashara ya mkaa

Tunasafirisha na kusambaza mikaa toka kijijini kwa bei nafuu kwa gunia

Tunasambaza maeneo yote ya jiji la dar es salaam kuanzia gunia kumi na kuendelea

Mkaa ni mzuri Mzito na bei nafuu karibuni sana

Vile vile kwa wale wanao hitaji kwa matumizi ya ndani upo unapatikana bei nafuu hutojuta


Kama unahitaji usisite kutoa oda na eneo ulilopo kwa watssap 0654352424

Karibuni
 
Bei ya jumla kwa gunia shingi ngap
 
Wa matumizi ya nyumbani gunia ni 26 ila sikuletei mpaka mlangoni utakuja kupokelea maeneo jirani na barabara kuu mfano kama unaishi moro road unapokelea ubungo au kimara
Sorry lakini hilo gunia la 26 linalinganaje au ndo kile kitoto cha gunia kinafika magotini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…