Melxcom991
Senior Member
- Aug 2, 2021
- 101
- 115
Number 3 inalipa sana hasa maeneo ya mjini unaweza kuingia ubia na bolt na uba mkuu ukapiga pesa vibaya mno ushauri wangu nenda mwenge pale upige pesa au makumbusho Cc ephen_Wakubwa kwa mtu mwenye mtaji wa milion 10 biashara ipi ni ya uhakika Dar,
1. Uuzaji nguo,
2.uwakala(mpesa,tigo,banks),
3.usafirishaji abiria kwa bajaji
Yah!! niliambiwa inarange m10 hadi 13Bajaj? Used au? Maana Dukani si bei iko zaidi ya hiyo?
Ongezaa kidogo uchukue Bajaj mpyaa, afu kuwa road.
Bajaji tsh 9,500,000Yah!! niliambiwa inarange m10 hadi 13
💯💯Bajaji tsh 9,500,000
Sema nasikia bajaji utaenda nayo mwaka mmoja vizuri baada ya hapo ni service kila siku wanaoijui hii biashara watupe uzoefuNumber 3 inalipa sana hasa maeneo ya mjini unaweza kuingia ubia na bolt na uba mkuu ukapiga pesa vibaya mno ushauri wangu nenda mwenge pale upige pesa au makumbusho Cc ephen_
Biashara za usafiroshaji kwa entry level kama bajaji na bodaboda fanya mwenyewe usimpe mtuSema nasikia bajaji utaenda nayo mwaka mmoja vizuri baada ya hapo ni service kila siku wanaoijui hii biashara watupe uzoefu
Yeaaah!!Yah!! niliambiwa inarange m10 hadi 13
Kuna uwezekano wa bajaji kulaza 70k kwa siku?Biashara za usafiroshaji kwa entry levele kama bajaji na bodaboda fanya mwenyewe usimpe mttu
Sina uhakika ila 50 ukikomaa mwenyewe hukosiKuna uwezekano wa bajaji kulaza 70k kwa siku?
Sio saana kakaSema nasikia bajaji utaenda nayo mwaka mmoja vizuri baada ya hapo ni service kila siku wanaoijui hii biashara watupe uzoefu
Duh! Muda unakimbia saa 2020 nanunua bajaj mpya mil 7 mwaka 2022 nkanunua nyingne TVS king mil 7.5 eti leo mwaka 2024 ni ml 9.5 had 10Bajaji tsh 9,500,000