Biashara ya kuuza nguo, uwakala, bajaji ipi inalipa?

Biashara ya kuuza nguo, uwakala, bajaji ipi inalipa?

Wakubwa kwa mtu mwenye mtaji wa milion 10 biashara ipi ni ya uhakika Dar,
1. Uuzaji nguo,
2.uwakala(mpesa,tigo,banks),
3.usafirishaji abiria kwa bajaji
Number 3 inalipa sana hasa maeneo ya mjini unaweza kuingia ubia na bolt na uba mkuu ukapiga pesa vibaya mno ushauri wangu nenda mwenge pale upige pesa au makumbusho Cc ephen_
 
Kama uko vizuri kwenye uendeshaji wa bajaji na una leseni basi mara moja bila kujiuliza kuwa afisa usafirishaji. Chukua bajaji yako mpya tafuta kijiwe kizuri kinacho kula vichwa vya kutosha kwa siku anza kazi mara moja.
 
Back
Top Bottom