Biashara ya kuuza simu na vifaa vyake

Biashara ya kuuza simu na vifaa vyake

Golden Trust

Member
Joined
Jan 21, 2023
Posts
33
Reaction score
44
Habari wana JF. Poleni na Majukumu.

Naombeni msaada wenu. Naitaji kufungua biashara ya kuuza vifaa vya simu na simu, nina mtaji wa Millioni 2, naombeni mnifahamishe namna ya kuianza biashara hii ili ije kukuwa zaid hapo mbeleni. Pia nianza na nini,nifate nini.

Pia kama kuna mtu anafahamu sehemu nzuri ya kufungua biashara hii palipo na mzunguko wa watu itakuwa poa sana (Dar es salaam) na namna ya kupata frem sehemu iyo. Mimi ninaishi Dar Es salaam Pugu.

Pia kama kuna mtu mwenye wazo la biashara tofauti na iyo niliotaja kutokana na fursa au uitaji wa eneo flani naombeni pia mniambie.

Natanguliza shukrani Zangu.
 
Mchwawi location mdg wangu,ukifankisha location nichek nkupe muongozo hyo fedha tosha kuanzia utauza viswaswadu na accessories baadh muhmu
 
Weka makava ya simu za kawaida. Weka accessories.shughuli kubwa ni ufundi. Ukishindwa unapeleka kkoo.
 
Back
Top Bottom