Umofia kwenu!!
Nataka nimuanzishie Uncle wangu biashara ya kuuza slippers, mzigo anachukua Karume na kuuza pale Makumbusho! Naombeni Mwenye uzoefu tafadhali atupatie changamoto zake.