Biashara ya kuuza Slippers

Biashara ya kuuza Slippers

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Umofia kwenu!!
Nataka nimuanzishie Uncle wangu biashara ya kuuza slippers, mzigo anachukua Karume na kuuza pale Makumbusho! Naombeni Mwenye uzoefu tafadhali atupatie changamoto zake.

Asanteni Sana

Elli

KAZURAMIMBA kuelekea Kigoma
 
Huko Karume na Makumbusho ni Huko Dar es Salaam. Asanteni Sana Mungu awabariki
 
Back
Top Bottom