Arusha vipi? Hautaji biznes patna?
Busness partiner mwenyecapital,idea au?
Duh! Arusha sina mtu wa karibu sana huko lkn kama unaweza tunaweza kuangalia tufanyeje.
Mikoa yote niliyoweka nina watu wa karibu wanaoishi mkoa husika hivyo tunaweza kufanya mawasiliano kupitia huyo maana naamini hatuwezi kuaminiana direct kupitia mitandao hii.
Kama tunaweza kupata link we can do it
Biashara ya Vitenge. Natafuta bussnes Partiners mikoa ya Dar, Mwanza, Dodoma, Singida, Mbeya, Tabora na Shinyanga
Nataka kuanza kufanya biashara ya kuuza na kusafirisha vitenge kutoka Kigoma kwenda mikoa niliyotaja hapo juu naomba aliyeko tayari tuwasiliane hapa tukishaelewana vizuri tutaenda pm tukitoka hapo namba za simu na biashara itaanza mara moja.
Nawasilisha.
Namna tutakavyofanya biashara nitaiweka hapa baada ya kupata wadau.
Kumbe kazi uliyoipata kupitia JF uliipata kigoma? Sasa unataka kumuibia mwajiri wako muda kufanya biashara? Jokes usipanic wakusoma
Vipi una mtu yeyote Kigoma au yuko wapi ambaye naweza kulink naye kukufahamu ww.
Kumbe kigoma kuna kiwanda cha vitenge? Sasa mbona hayo maeneo uliyoyataja yanazalisha vitenge tena yanapata vingine kutoka china? Una ahueni ya ushindani?Biashara ya Vitenge. Natafuta bussnes Partiners mikoa ya Dar, Mwanza, Dodoma, Singida, Mbeya, Tabora na Shinyanga
Nataka kuanza kufanya biashara ya kuuza na kusafirisha vitenge kutoka Kigoma kwenda mikoa niliyotaja hapo juu naomba aliyeko tayari tuwasiliane hapa tukishaelewana vizuri tutaenda pm tukitoka hapo namba za simu na biashara itaanza mara moja.
Nawasilisha.
Namna tutakavyofanya biashara nitaiweka hapa baada ya kupata wadau.
Kumbe kigoma kuna kiwanda cha vitenge? Sasa mbona hayo maeneo uliyoyataja yanazalisha vitenge tena yanapata vingine kutoka china? Una ahueni ya ushindani?
naomba nikueleweshe mkuu, Vitenge vyote unavyoona wanawake wa Dar akiwemo mama Salma vinatoka Kigoma, kuna vitenge vya aina tofauti lkn kwa vile ww sio mzoefu nadhani tafuta anayejua hapo jirani yako utajua.
Kimsingi ni kweli kabisa na hakika Kigoma hakuna kiwanda cha vitenge lkn naomba nisikueleze vinatoka wapi labda PM