Biashara ya Kuuza vitenge kutoka Kigoma natafuta Business Partners

Biashara ya Kuuza vitenge kutoka Kigoma natafuta Business Partners

Kama una wax au kama vitenge vyako original twende mozambique tukabige hela,namba yangu ni 0718375766
 
Biashara ya Vitenge. Natafuta bussnes Partiners mikoa ya Dar, Mwanza, Dodoma, Singida, Mbeya, Tabora na Shinyanga

Nataka kuanza kufanya biashara ya kuuza na kusafirisha vitenge kutoka Kigoma kwenda mikoa niliyotaja hapo juu naomba aliyeko tayari tuwasiliane hapa tukishaelewana vizuri tutaenda pm tukitoka hapo namba za simu na biashara itaanza mara moja.
Nawasilisha.

Nko dar embu toa conditions tupige kazi
 
Si umwambie tu vinatoka Nigeria kupitia Goma (DRC). Kungekuwa na ndege za mizigo kuja Dar ilikuwa ni bora zaidi kuchukua moja kwa moja toka Abuja.
Hauwezi kupakia vitenge kwenye ndege ni sawa na kupakia cement itakuwa ghali sana na lazima iwe cargo flight.
 
Vitenge vingi Kigoma ni kutoka China na Dubai ambavyo vimejaa kariakoo vya Congo na Nigeria ni zamani mchina kaliharibu soko kabisa.
 
Nahitaji kufanya hii Bz na ww km bado unafanya nipatie mawasiliano yako me nipo shinyanga
 
Hello! Nina interest na biashara ya vitenge. Nipo dodoma, tuwasiliane
 
Biashara ya Vitenge. Natafuta bussnes Partiners mikoa ya Dar, Mwanza, Dodoma, Singida, Mbeya, Tabora na Shinyanga

Nataka kuanza kufanya biashara ya kuuza na kusafirisha vitenge kutoka Kigoma kwenda mikoa niliyotaja hapo juu naomba aliyeko tayari tuwasiliane hapa tukishaelewana vizuri tutaenda pm tukitoka hapo namba za simu na biashara itaanza mara moja.
Nawasilisha.

Namna tutakavyofanya biashara nitaiweka hapa baada ya kupata wadau.

Unauzaje Mr.
 
Back
Top Bottom