Biashara ya Kuuza vitenge kutoka Kigoma natafuta Business Partners

Kama una wax au kama vitenge vyako original twende mozambique tukabige hela,namba yangu ni 0718375766
 
 
Si umwambie tu vinatoka Nigeria kupitia Goma (DRC). Kungekuwa na ndege za mizigo kuja Dar ilikuwa ni bora zaidi kuchukua moja kwa moja toka Abuja.
Hauwezi kupakia vitenge kwenye ndege ni sawa na kupakia cement itakuwa ghali sana na lazima iwe cargo flight.
 
Vitenge vingi Kigoma ni kutoka China na Dubai ambavyo vimejaa kariakoo vya Congo na Nigeria ni zamani mchina kaliharibu soko kabisa.
 
Nahitaji kufanya hii Bz na ww km bado unafanya nipatie mawasiliano yako me nipo shinyanga
 
Hello! Nina interest na biashara ya vitenge. Nipo dodoma, tuwasiliane
 

Unauzaje Mr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…