Wadau naomba ushauri, nataka nifanye biashara ya kufuata Laptop China then nije niuze bongo, so naomba kama kuna mtu anajua jinsi ya hiZi biashara za kufuata china zinavyofanyika, anipe muongozo..natanguliza shukrani.
Sent from my iPhone using JamiiForums app