Biashara ya Laptop

Biashara ya Laptop

akili akili

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
1,737
Reaction score
1,102
Wadau naomba ushauri, nataka nifanye biashara ya kufuata Laptop China then nije niuze bongo, so naomba kama kuna mtu anajua jinsi ya hiZi biashara za kufuata china zinavyofanyika, anipe muongozo..natanguliza shukrani.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
nenda china kwanza ukishanunua bongo wateja wapo kibao tuu
 
Back
Top Bottom