Lomaa lolusa Member Joined May 15, 2017 Posts 30 Reaction score 45 Apr 27, 2024 #1 Nataka kunadilisha nyumba ya kupanga iliyopo Dodoma karibu na chuo Cha mipango kuwa lodge.. Ushauri wenu na namba nzuri ya kufanya
Nataka kunadilisha nyumba ya kupanga iliyopo Dodoma karibu na chuo Cha mipango kuwa lodge.. Ushauri wenu na namba nzuri ya kufanya
CriSanToS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 1,233 Reaction score 3,575 Apr 27, 2024 #2 Bila shaka rate ya watu kufanya uzinifu kwa maeneo hayo siyo mbaya, kwahiyo nakushauri wewe lianzishe tu 🤒😎
Bila shaka rate ya watu kufanya uzinifu kwa maeneo hayo siyo mbaya, kwahiyo nakushauri wewe lianzishe tu 🤒😎
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 4,407 Reaction score 16,942 Apr 27, 2024 #3 KWa maeneo hayo kuwa na uhakika wa kupata wazinifu wa kutosha tu.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Apr 27, 2024 #4 Ngurukia said: KWa maeneo hayo kuwa na uhakika wa kupata wazinifu wa kutosha tu. Click to expand... [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Na uzuri jina litaitwa LODGE badala ya GUEST HOUSE
Ngurukia said: KWa maeneo hayo kuwa na uhakika wa kupata wazinifu wa kutosha tu. Click to expand... [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Na uzuri jina litaitwa LODGE badala ya GUEST HOUSE